The House of Favourite Newspapers

Asia: Slim ana laana yangu

0

PSX_20150112_222955001Aliyekuwa mke halali wa muigizaji Slim Omary, Asia Morgana.

Na imelda mtema
Aliyekuwa mke halali wa muigizaji Slim Omary, Asia Morgana amefunguka kuwa mikasa inayompata mtalaka wake huyo ni kwa sababu ya laana yake kwani alimwambia fedha alizokuwa anamdai apeleke kituo cha watoto yatima lakini hakufanya hivyo.

Hebu msikie Asia: “Wakati tunaachana kuna pesa nilikuwa namdai, nikamtaka akawape watoto yatima, hakufanya hivyo ndiyo maana sasa hivi anaandamwa na majanga.”

Leave A Reply