Asimulia Jinsi Pacha Wake Alivyoliwa Na Mamba Wakati Wakivuka Mto – Video
Mtangazaji, MC na staa wa mitandaoni, Salehe Jumanne, Dk Kumbuka @drkumbuka_majaliwa amesimulia jinsi pacha wake alivyoliwa na mamba Ngerengere, Morogoro wakati wakiwa wanaogelea, miaka mingi iliyopita.