The House of Favourite Newspapers

Askari wa KVZ Aliyedaiwa Kupotea Apatikana Akiwa Amefariki

0
SGT Haji Machano

Jeshi la Polisi Mkoa wa Unguja, limeeleza kuwa mwili wa askari wa jeshi hilo, SGT Haji Machano aliyekuwa amepotea tangu Agosti 8, 2024, umekutwa ukiwa umeharibika vibaya msituni.

LUKAMBA AMWAGA UKWELI WOTE – ”NILISHANGAA STUDIO ya P DIDDY KUNA KITANDA – WALIZUIA KAMERA”…

Leave A Reply