Askari Waliotaka Kutorosha Dhahabu Walivyofikishwa Mahakamani! – VIDEO

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania, Robert Boaz, ameeleza sababu zilizopelekea Askari waliohusika na jaribio la kutorosha Dhahabu kupelekwa katika mahakama ya kawaida na sio ya kijeshi.

Boaz amesema kutokana na mahakama ya kijeshi kuwa na mzunguko mrefu umefanya askari hao kupelekwa katika mahakama ya kawaida huku wakisubiri taratibu za kijeshi kwani sheria inaruhusu kufanya hivyo.

 

Loading...

Toa comment