The House of Favourite Newspapers

Aslay Afungukia Bifu Lake na Beka Flavor

0
Aslay.

HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi pamoja katika Yamoto Band, msanii huyo amefunguka kuwa hakuna bifu lolote kati yao.

Akizungumza na Risasi Vibes, Aslay alisema kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa kuwa katika msigano na Beka Flavor kitu mbacho si kweli kwani wao ni washkaji licha ya kutofanya kazi pamoja kwa sasa.

“Mimi na Beka ni washkaji vibaya sana, tena mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa jana (juzi), mashabiki ndiyo wanakuza mambo hayo lakini ukweli ni kwamnba sina bifu na Beka,” alisema Aslay.

Stori: Ally Katalambula | Risasi Mchanganyiko.

Duh! Trafiki Mpenda Rushwa Yamkuta Nyumbani Kwake (Comedy)

Leave A Reply