Atembea Kwa MIGUU Mikoa 8 Akimuenzi Nyerere – Video

KIJANA anayejulikana kwa jina la Ramadhani Salum Mohamed mkazi wa Mbeya amewka Historia ya aina yake na ya kizalendo baada ya kutembea kwa miguu akizunguka mikoa 10, kutoka  Mbeya hadi Jijini Dar es Salaam.

 

Ramadhani a,naye alianza kutekeleza kampeni yake hiyo ya uzalendo tangu Mei 8, 2019, anasema ameamua kufanya hivyo kwa upendo kwa taifa lake pamoja na kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere kwa kutembea mikoa yote hadi siku ya kumbukumbuku ya kifo cha muasisi huyo wa taifa itakapofikia.

Tazama Hapa

Loading...

Toa comment