Athari za Kunywa Pombe kwa Mjamzito … Soma Hapa
KATI ya mambo ambayo wanawake wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe wakati wa ujauzito licha ya kushauriwa na madaktari. Wengi tumekuwa tukiona wajawazito wakinywa pombe. Mara nyingi huwa nashauri kuacha pombe kabisa wakati wa ujauzito. Pombe inaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto wako bila wewe kuhisi madhara yake. Na yanaweza kuwa madhara ya kudumu ambayo ataishi nayo maisha yake yote.
Aidha kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya wajawazito kuwa, hawatakiwi kunywa pombe kali kama whisky lakini ni ruksa kutumia aina nyingine za pombe kama bia au za kienyeji. Hata hivyo dhana hii si sahihi kwa kuwa pombe za aina zote zina madhara makubwa kwa kiumbe aliye tumboni.
Kisayansi, takwimu zinaonyesha kwamba unywaji sana wa pombe wakati wa ujauzito, huathiri mimba hasa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo (first trimester), kipindi ambacho viungo vingi vya mwili wa mtoto hufanyika (organogenesis).
Wanawake wajawazito waelewe kwamba pombe ni sumu kwa mtoto kwani unapokunywa inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wa mama kisha hufika kwa mtoto kwa kupitia kondo la nyuma (placenta).
Pombe inapoingia kwenye mzunguko wa damu wa mtoto, huathiri uwezo wa mtoto kupata chakula, virutubisho na oksijeni ya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kawaida katika ubongo na viungo vingine.
Hii inaweza kuathiri ubongo wa mtoto na ukuaji wa viungo vya mwili kwa ujumla. Uharibifu huu unaweza kuathiri uwezo wa mtoto kujifunza na kufikiri pindi anapozaliwa, hali ambayo itajionesha kwa matendo yake kama mtoto na kama mtu mzima.
Aidha, utafiti umeonesha kwamba uwezo wa mimba kustahimili kiwango cha pombe ni mdogo mno hali ambayo huathiri ufanyikaji wa viungo na ukuaji wake kwa kiasi kikubwa.
Itaendelea wiki ijayo.
KIVUMBI KINAANZA LEO NGAO ya JAMII/ MASTAA WAPYA WATAMBIANA/ KOCHA SIMBA ATUMA SALAMU…
{
“ns”: “yt”,
“el”: “detailpage”,
“cpn”: “RxlvU6pM811fDs_a”,
“ver”: 2,
“cmt”: “1545.358”,
“fmt”: “243”,
“fs”: “0”,
“rt”: “6194.75”,
“euri”: “”,
“lact”: 1,
“live”: “dvr”,
“cl”: “554318840”,
“mos”: 0,
“state”: “4”,
“volume”: 100,
“subscribed”: “1”,
“cbr”: “Firefox”,
“cbrver”: “116.0”,
“c”: “WEB”,
“cver”: “2.20230807.06.00”,
“cplayer”: “UNIPLAYER”,
“cos”: “Windows”,
“cosver”: “10.0”,
“cplatform”: “DESKTOP”,
“delay”: 5,
“hl”: “en_US”,
“cr”: “TZ”,
“fexp”: “23983296,23986031,24004644,24007246,24080738,24135310,24208765,24362615,24371398,24380264,24415864,24439361,24499533,24509768,24509770,24509772,24524098,24525414,24528726,24544546,24544702,24549629,24550458,24550952,24554040,24559327,24562063,24699899,51000316,51003489”,
“afmt”: “140”,
“lio”: “1691565034.012”,
“muted”: “0”,
“docid”: “kiTZX-Or4rY”,
“ei”: “2UHTZNLTCfvwsAKz_7bYCQ”,
“plid”: “AAYCeIeEpl3UPpKP”,
“referrer”: “https://www.youtube.com/@globaltv_online”,
“sdetail”: “p:/@globaltv_online”,
“sourceid”: “y”,
“of”: “dUp5BMnsmAIPOC1CQPpeGw”,
“vm”: “CAEQARgEOjJBQWpSVTZuYXJVeU1Jbzd2NUw1NXctdG1DSllWOWk5T2swM3NuZU9Kd2hKaDR1NGhGd2JbQVBta0tESUZxMm1Bb0xYZ3hNZHZNSklhcjRfRzhkMmNvakhaVDV5XzZvR296bXN0TXR2QmpJNWk3VkVBUkhZOEpibGh5M0F4U2J4dGZncUhkM3oxSGJ5RkpQVWgB”,
“vct”: “1545.358”,
“vd”: “5106.952”,
“vpl”: “1532.060-1545.358”,
“vbu”: “1531.960-1666.935”,
“vpa”: “1”,
“vsk”: “0”,
“ven”: “0”,
“vpr”: “1”,
“vrs”: “4”,
“vns”: “2”,
“vec”: “null”,
“vemsg”: “”,
“vvol”: “1”,
“vdom”: “1”,
“vsrc”: “1”,
“vw”: “709”,
“vh”: “399”,
“lct”: “1545.358”,
“lsk”: false,
“lmf”: false,
“lbw”: “464400.000”,
“lhd”: “0.452”,
“lst”: “938.086”,
“laa”: “itag_140_type_3_src_updateWithSegmentInfo_segsrc_updateWithSegmentInfo_seg_333_time_1661.9-1666.9_off_0_len_82207_end_1”,
“lva”: “itag_243_type_3_src_updateWithSegmentInfo_segsrc_updateWithSegmentInfo_seg_333_time_1661.9-1666.9_off_0_len_158152_end_1”,
“lar”: “itag_140_type_3_src_mlLiveCreateReqInfoForSeg_segsrc_updateWithSegmentInfo_seg_333_time_1661.9-1666.9_off_0_len_90000_end_1”,
“lvr”: “itag_243_type_3_src_mlLiveCreateReqInfoForSeg_segsrc_updateWithSegmentInfo_seg_333_time_1661.9-1666.9_off_0_len_148000_end_1”,
“laq”: “0”,
“lvq”: “0”,
“lab”: “1531.960-1666.961”,
“lvb”: “1531.935-1666.935”,
“ismb”: 2200000,
“latency_class”: “NORMAL”,
“segduration”: 5,
“lat”: 24.220762252807617,
“relative_loudness”: “NaN”,
“optimal_format”: “360p”,
“user_qual”: 0,
“release_version”: “youtube.player.web_20230806_00_RC00”,
“debug_videoId”: “kiTZX-Or4rY”,
“0sz”: “false”,
“op”: “”,
“yof”: “false”,
“dis”: “”,
“gpu”: “ANGLE_(Intel,_Intel(R)_HD_Graphics_Direct3D11_vs_5_0_ps_5_0)”,
“debug_playbackQuality”: “medium”,
“debug_date”: “Wed Aug 09 2023 12:19:08 GMT+0300 (East Africa Time)”
}