visa

Aua Wanafunzi Tisa Kwa Kisasi China, Ahukumiwa Kifo

ZHAO ZEWEI raia wa China anayesemekana ana umri wa miaka itapayo 28 amehukumiwa kifo na Mahakama ya Jiji la Yulin kwa kuwachoma visu wanafunzi wanne kulipiza kisasi katika kile alichoita manyanyaso aliyoyapata katika shule hiyo ya jimboni Shaanxi wakati anasoma hapo.

Mahakama imesema Zhao aliyefunguliwa mashitaka hayo mwezi Mei mwaka huu, amekata rufaa.

Kutokana na sheria ya kubana umiliki wa bunduki nchini China, raia wengi nchini humo hutumia visu na mashoka kufanya mauaji.
Toa comment