Ray C Atoa Wimbo Mpya wa ‘Confidence’

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ ametoa wimbo mpya wa ‘Confidence’ baada ya kupotea kwenye  muziki kwa muda mrefu.

Mashabiki wa msanii huyo wamempongeza kwa wimbo huo wakisema  anaimba vizuri na wamemtaka kuongeza juhudi  ili kushindana na wasanii wa sasa.

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Usipitwe Na matukio, Install App yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers


Android : =>  Play store

ISO : =>   APP store

Toa comment