Ray C Atoa Wimbo Mpya wa ‘Confidence’

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ ametoa wimbo mpya wa ‘Confidence’ baada ya kupotea kwenye  muziki kwa muda mrefu.

Mashabiki wa msanii huyo wamempongeza kwa wimbo huo wakisema  anaimba vizuri na wamemtaka kuongeza juhudi  ili kushindana na wasanii wa sasa.


Loading...

Toa comment