Aunt Ezekiel Amzawadia Wema Bonge la Ndinga – Video
KAMA ni mdau wa masuala ya burudani na stori za mastaa wa Tanzania, bila shaka utakuwa unafahamu kama mrembo Wema Sepetu husherehekea siku yake ya kuzaliwa kila Septemba 28.
Mwaka huu 2019, Wema Sepetu anadondosha Bad & Boujee Birthday Party pande za Element ambapo anautaja usiku wa kesho kuwa usiku wa kunyuka pamba.
Sasa kabla hatujaanza kuyaona mabalaa ya birthday hiyo, Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa siku nyingi wa Wema, amempatia zawadi ya gari mrembo huyo na kumzidishia furaha kama unavyoweza kumuona wema kwenye video hii.
Comments are closed.