The House of Favourite Newspapers

Aunty Ezekiel: Sina Mpango Wa Ndoa Na Kusah, Akitaka Kuoa Aniambie – Exclusive video

0


Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amefanya mahojiano na Global Tv, na kusema kuwa hana mpango wa kufunga ndoa na mpenzi wake Kusah kwani ameshuhudia wasanii wengi wakifunga ndoa wanaachana kwahiyo bora wakae bila ndoa.

Leave A Reply