The House of Favourite Newspapers

Aunty Ezekiel: Wasanii wa Bongo Fleva Waendelee Kugombana (Video)

0


Staa wa kike anayefanya vizuri kuna Filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema kuwa wanamuziki Diamond, Ali Kiba na Ommy Dimpoz, kama wanagombana kwa sababu ya kazi, basi waendelee kugombana na wasipatane milele.

Aunt ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa filamu mpya ya Wema Sepetu, inayoitwa Heaven Sent.

Pia amesema kuwa, ndoa yake na aliyekuwa mume wake kwa sasa haipo tena, kama inavyofahamika kwamba yupo na Mose Iyobo kwahiyo hawezi tena kurudiana naye.

Leave A Reply