The House of Favourite Newspapers

AUNTY LULU ASHEREHEKEA MAMA’KE KUCHUMBIWA

MUIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesherehekea mama yake mzazi kupata mchumba ambaye alimvalisha pete mwishoni mwa wiki iliyopita katika kanisani moja lililopo maeneo ya Kinondoni jijini Dar.

 

Akizungumza na Amani, Aunty Lulu alisema kuwa amefurahi sana mama yake kumpata mwenza kwani baada ya baba yake kufariki dunia, alikaa muda mrefu akiwa mpweke.

 

“Unajua nina furaha kupita kiasi mama yangu kupata mwenza imenipa faraja, ninamuombea maisha mema ya ndoa kwani ni jambo ambalo limetufurahisha sisi kama familia,” alisema Aunty Lulu.

Stori: Hamida Hassan

Comments are closed.