Vijana Wang’ara Katika Fainali za NCBA Junior Golf Series
Dar es Salaam, Tanzania – Desemba 9, 2024 – Mashindano ya NCBA Junior Golf Series yamefikia tamati kwa mafanikio makubwa katika viwanja vya TPDF Lugalo Golf Club, yakionesha vipaji vya hali ya juu vya vijana kutoka maeneo mbalimbali ya…