Waziri Mkuu Majaliwa Mgeni Rasmi Kurasa 365
Kutoka Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo ni kilele cha Maadhimisho ya Kurasa 365 za Mama Vol.3 ikiwa na lengo la kuangazia mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake wa Nchi.…