JWTZ Lasaidia Huduma Tiba na Afya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025.
Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo…