ads
Author
Denis Mtima
NALA Yaungana na Vodacom M-Pesa Kuleta Urahisi wa Kutuma, Kupokea Pesa Nchi za Ulaya
Kampuni ya kimataifa iliyozaliwa Tanzania (NALA), inayoshughulika na mfumo wa malipo, duniani na kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC kupitia M-Pesa leo wametangaza usihirkiano mpya utakaoiwezesha huduma ya…
Nmb Yazindua Kampeni ya Umebima 2023, Elimu Zaidi Yatolewa
Katika azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB Jumatatu wiki hii imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya elimu na uelewa wa masuala ya bima ya Umebima jijini Mbeya.
Kama ilivyokuwa kwa…
DCI Ramadhani Kingai Atembelea Ocean Road,”Polisi nao Ni Wanajamii”
Askari Polisi alijiunga na Jeshi la Polisi na kuhudhuria mafunzo ya awali mwaka 2000/2001 leo wametembelea Taasisi ya Saratani Ocean road na kutoa misaada kama sadaka kwa wagonjwa wanaougua maradhi ya saratani ikiwa ni namna ya…
Kuelekea ‘Grand finale ‘ NMB Kupitia Kampeni yake Ya ‘MastaBataKoteKote’ Yakabidhi…
Ikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea ‘Grand finale ‘ ambapo tutashuhudia wateja 8 wakijishindia safari ya kwenda Dubai kwa siku 4 huku benki ya NMB ikiwalipia kila kitu, benki hiyo iliendesha droo ya wiki ya mwisho ya kampeni ya…
Parimatch Tech Yawa GR8 Tech
Kampuni mpya ya teknolojia imeingia katika soko la kimataifa la iGaming B2B wiki hii: GR8 Tech. Kama mrithi wa Parimatch Tech - kampuni iliyotengeneza jukwaa na suluhu za uuzaji kwa chapa ya Parimatch - GR8 Tech yenye uzoefu…
Waziri Dkt. Dorothy Gwajima Atembelea Benki ya Nmb, Ateta na Uongozi
Benki ya NMB imepata nafasi ya kutembelewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa…
Utafiti Stadi za Maisha Na Maadili Kwa Vijana Kuzinduliwa Januari 26, Dar
UTAFITI uliofanywa na Mradi wa ALiVE-Tanzania kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana nchini Tanzania umebaini kuwa vijana wengi wenye umri kati ya miaka 13 – 17, wana kiwango cha chini cha stadi za maisha (LifeSkills).…
Juhudi za Serikali Zazidi Kuungwa Mkono, Nmb Yatoa Msaada Vifaa Tiba Wilaya ya Arusha
Sekta ya afya ni sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii zetu na kwa kulitambua hilio, Benki ya NMB imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Afya kusaidia kuboresha huduma za Afya kwa Wilaya ya Arusha kwa kutoa msaada wa vifaa…
NMB Yaingia Makubaliano Na Serikali ya Zanzibar Uhifadhi wa Bustani ya Forodhani
Benki ya NMB imeingia makubaliano na Mamlaka ya Hifadhi Mji Mkongwe, chini ya usimamizi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuboresha bustani ya Forodhani.
Chini ya makubaliano hayo, Benki ya NMB…
Makamu Wa Rais Dkt. Mpango; Waelimisheni Wananchi Umuhimu Wa Usuluhishi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa rai kwa Mahakama na Wadau wake kuelimisha wananchi kuhusu njia bora zaidi ya utatuzi wa migogoro yao na hususani njia ya usuluhishi ambayo…
Askari 78 Waliofanya Vizuri Katika Kuzuia Vitendo Vya Uhalifu 2022 Wapewa yeVti vya Pongezi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP. Muliro J. Muliro amewatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi 78 wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa utendaji kazi bora wa majumu yao katika kuzuia vitendo vya kihalifu kwa mwaka…
Mshindi wa NMB Mastabata Kotekote Akabidhiwa Zawadi Ya Pikipiki Tabora
Mshindi wa shindano la NMB MastaBata KoteKote linaloendeshwa na Benki ya NMB Emmanuel Marumbo kutoka Mkoani Tabora amekabidhiwa rasmi Pikipiki yake leo aina ya Boxer.
Mshindi huyo wa jumla aliyepatikana katika droo ya nane ya…
TCB Bank Yashiriki Uzinduzi Ujenzi wa Reli Ya Kisasa Kutoka Tabora Hadi Isaka
Tanzania Commercial Bank (TCB) Imeendelea kushiriki zoezi endelevu la ujenzi wa kipande cha nne cha ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Tabora hadi Isaka chenye urefu wa kilomita 165.
TCB imeshirikia kikamilifu katika hafla ya…
Naibu Waziri Kasekenya Aridhishwa Na Maandalizi Ujenzi Wa BRT III
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka BRT na kueleza kuridhishwa kwake na maandalizi ya kuanza kwa ujenzi wa awamu ya tatu ya mradi huo kutokea…
DC Mwenda Kuanzisha Mashindano Ya Mpira wa Miguu Iramba
Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano ya mpira miguu.
Mashindano hayo yanayoratibiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida…
Aliyemuua Mke Kikatili Kwenye Fumanizi Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Dibron Said kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mkewe Herieth Justine kwa kumchoma na kisu begani, tumboni na kifuani baada ya kumfumania na mwanaume mwingine.…
Usaid Kizazi Hodari Tumaini Jipya Kwa Jamii za Waathirika wa Ukimwi
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Jamii na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima ameagiza utekelezaji wa mradi wa Kizazi Hodari unaowalenga
kuimarisha afya, ustawi na ulinzi kwa Watoto na vijana balehe wanaoishi katika…
Washindi 608 wa Nmb ‘Mastabata Kotekote’ Wang’ara
Idadi ya washindi wa kila wiki wa kampeni ya NMB MastaBata KoteKote sasa imefikia 608 baada jana (Ijumaa) kupatikana washindi wa raundi ya 8 ya droo za kila wiki hapa Mtwara ambapo zawadi zenye thamani ya takribani 10m/- zilinyakuliwa.…
NEMC Yatembelea Safu za Milima Ya Nyanda za Juu Kusini
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limefanya ziara katika safu za milima ya livingstoni iliyopo Nyanda za juu Kusini kwa lengo la kujiridhisha na changamoto za kimazingira zinazosababishwa na shughuli…
Wafanyakazi Wa NMB Washerehekea Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar
Katika kusherekea maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar, wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka matawi ya Zanzibar wameungana na Baraza la Udhibiti la Mifumo wa utoaii Leseni (BLRC) Zanzibar kufanya usafi Kwenye viwanja vya Maisara.…
Nmb Yaanza Mwaka Kwa Kusambaza Upendo Kupitia MastaBataKoteKote
Benki ya NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina ya boxer wa draw ya 6 - Ally Asbat Abdallah kwenye droo ya pili ya mwezi…
Halotel Tanzania Yakabidhi Gari Jipya la Promosheni ya 7bang Bang
Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC leo imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST Mpya wa draw kubwa ya mwisho ya promosheni ya wateja iliyokuwa na jina la 7bang bang.
Promosheni…
Rais Dkt. Hussein Mwinyi Apokea Msaada Kutoka NMB Wa Vifaa Tiba Hospitali Ya MiCheweni Pemba
Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya tiba mbalimbali kwa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Pemba ikiwa ni utekelezaji wa azma yake ya kusaidia utoaji wa huduma bora za afya.
Mchango wa benki hiyo unaenda sambamba na maadhimisho ya…
Nmb Sengerema, Chato Watoa Msaada wa Magodoro na Kompyuta
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi ya Chato na Sengerema wametoa msaada wa magodoro 50 katika gereza la wilaya ya Chato pamoja na kompyuta moja na…
Kigogo wa Jatu PLC Afikishwa Mahakamani Kisutu
Kutoka katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu ni kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu.…
TCAA-CCC Yaahidi Huduma Bora Kwa Wadau wa Usafiri Wa Anga
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) limesema litaendelea kuhakikisha ya kwamba watumiaji wa huduma za usafiri wa anga Tanzania wanapata huduma kwa wakati na kufurahia safari zao.
…
Askari Polisi Mtwara Atwaa bodaboda ya NMB MastaBata
Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara, WP Husna Juma Baraka, ameibuka mshindi wa pikipiki katika droo ya saba ya Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, ambayo hadi sasa imeshatoa zawadi zenye thamani ya Sh.…
Polisi Dar Yamnasa Mwanafunzi wa CBE Aliyejifanya Rais Mstaafu Kikwete Kutapeli
Press 22 Desemba 2022 Makosa ya KImtandao(1)
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata…
HaloPesa Yazindua “Shinda Tena na Halopesa”
Halotel ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma zao za kifedha za HaloPesa, inaendelea kuwahamasisha wateja wao kwa kuleta huduma za ubora na zenye ubunifu, na wakizindua kampeni ya SHINDA TENA NA HALOPESA leo.…
Waziri Mkuu: Serikali Imetoa Zaidi ya Bil 7 Kuwezesha Ujenzi Chuo cha Ualimu Sumbawanga
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni saba kuwezesha ujenzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Sumbawanga ambacho awali kilikuwa kwenye majengo ya kanisa katoliki.
Akizungumza baada…
Waziri wa Elimu Akemea Watumishi Wanaofanya Udanganyifu Kwenye Mitihani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekemea vikali udanyanyifu wa mitihani unaofanywa na baadhi ya watumishi wa Serikali wasio waaminifu na kuwataka Wakuu wa shule kutojiingiza katika udanganyifu huo.
Waziri…
PM Majaliwa Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Sumbawanga, Abaini Mapungufu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea na kujionea maeneo ambayo bado hayajakamilika wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya Matanga kilichopo katika Manispaa ya Sumbawanga ambacho kimeanza kutumika…
Wafanyakazi wa Absa Wasaidia Madawati Kwa Watoto Wenye Mahitaji
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya Absa Tanzania, George Binde ( kushoto) akikabidhi madawati 37 yenye thamani ya sh milioni 10 yaliyopatikana kwa michango ya wafanyakazi wa benki hiyo Kwa Mkuu wa Shule ya Msingi…
RC Kilimanjaro: Uwekezaji wa PSSSF Umeleta Faraja Kubwa Mkoani Kwetu
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema uwekezaji kwenye eneo la viwanda uliofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwenye mkoa huo umeleta faraja kubwa kwa wananchi.
Mkuu huyo wa Mkoa…
RC Makala Ashiriki uzinduzi wa ‘NMB Pesa Akaunti’ Kidijitali Zaidi
Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’ ambayo ni akaunti Ya kidijitali inayomwezesha mteja kufungua na kuanza kuitumia ndani ya dakika mbili tu, …
Waziri Mkenda: Ajira za Chuo Kikuu Isiwe Kuangalia GPA, Lazima wapimwe, Wafanye na usaili
Kuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu…
Kampeni ya Nmb Mastabata ‘Kotekote’ Yazidi Kupasua Anga
Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani ya Sh. Mil. 10.5 kutolewa kwa washindi 76 jana, hivyo kufanya jumla kuu ya zawadi kufikia zaidi ya Sh.…
Halotel Kuwapatia Wanafunzi wa Vyuo Salio la Bure
Katika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa huduma zake kwa wateja.
Leo kampuni imetangaza huduma mpya inayolenga kuchochea usomaji kwa wanafunzi wa…