Waziri Mkuu Akutana Na Balozi Wa Umoja Wa Ulaya Nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, Ofisini ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam.
Katika mazungumzo hayo Mheshimiwa Majaliwa amesema…