Waliokutwa na Meno ya Tembo Wahukumiwa miaka 100
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu kifungo cha miaka 100 jela, watu watano kwa makosa matano likiwemo la kukutwa na meno saba ya Tembo.
Hukumu ya kesi hiyo ya kiuchumi namba 5/2022, imetolewa Januari 4,2023 na…