Waziri Aliyeripoti Kuibiwa Tsh. Bilioni 3 Nyumbani Kwake, Akamatwa
Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi kwenda Polisi kuripoti lakini kibao kimegeuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha Fedha ambacho kinahusishwa na Rushwa
Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni…