testiingg
The House of Favourite Newspapers

Esma Ndoa ya Nne Yanukia

HABARI za ndani kabisa zinadai kwamba, ndoa ya nne ya dada wa staa wa muziki Afrika, Diamond Platnumz aitwaye Esma Platnumz, inanukia. Kwa mujibu wa watu wa Madale; nyumbani kwa Mama Dangote, tayari vikao vinaendelea kwa siri kwa…

Mkenya wa Kagera Yuko Siriazi na Simba

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mkenya Francis Baraza ameweka wazi kuwa wameanza maandalizi ya mechi yao na Simba itakayopigwa Jumamosi hii huku lengo lao likiwa ni kupata ushindi. “Tumeanza maandalizi ya kuhakikisha tunapata…

Makusu Afungukia Dili Lake Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Orlando Pirates na AS Vita, Jen Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga huku mwenyewe akisema kuwa yupo ayari kujiunga na timu hiyo kama mazungumzo yatakwenda sawa.…

MO Atoa Tsh Bilioni 2 Ujenzi Uwanja wa Simba

Mfanyabiashara ameahidi kuchangia TZS bilioni 2 katika ujenzi wa uwanja wa Klabu ya Simba. Amesema amepokea maoni ya watu wengi na kwamba wapo tayari kuchangia, hivyo ameiomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka wa kuanza…

Njombe: Mwili wa Marehemu Wafukuliwa – Video

IKIWA ni siku chache tu baada ya Jeshi la Polisi Mkoani Njombe kutangaza kupatikana kwa baadhi ya viungo vya mwili wa mfanyabiashara wa vitunguu mkazi wa Morogoro, ndugu wa mfanyabiashara huyo wamefika Njombe na kulazimika kufukua mwili…