vurugu Za Tanda Chuo Kikuu Cape Town
Mwaka wa masomo 2025 katika Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ulianza kwa vurugu baada ya wanafunzi kuandamana wakipinga vizuizi vya ada na ukosefu wa makazi. Shughuli za kampasi zilisimama, zikilazimisha uongozi wa chuo kuchukua hatua.…