The House of Favourite Newspapers

Tecno yaja na muonekano mpya wa kijanja

TECNO inakuja na teknolojia mpya kabisa ambayo haijawai kutokea kwenye ulimwengu wa smartphone duniani! Inayoenda kwa jina la Ultra-thin PHANTOM ULTIMATE 2 Tri-Fold, ni mwendelezo wa uvumbuzi wa PHANTOM ULTIMATE.…

Mkeka Wa Mbao Wazindua Bidhaa Mpya

Kampuni ya Classic Finishes Limited ambayo inafahamika zaidi kwa jina la Mkeka wa Mbao, imezindua bidhaa mpya ya Firmfit (sakafu) huku ikisisitiza bidhaa hiyo ni rafiki kwa uchumi na mazingira. Mkurugenzi Mkuu wa Classic…

Simba SC Yamtambulisha Golikipa Mpya

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Camara raia wa Guinea mwenye umri 25 ambaye amekuja kuongeza nguvu katika idara ya Golikipa kwa kuwa tunahitaji kufanya vizuri msimu ujao. Camara ameshukuru Uongozi wa Klabu ya Simba kwa kumpa nafasi…