The House of Favourite Newspapers

Azam FC Wasajili Kiungo Kutoka Zambia

0

Azam FC  leo Julai 22, 2021 wameingia mkataba wa miaka miwili na kiungo mkabaji wa kimataifa wa Zambia, Paul Katema, akitokea Red Arrows ya huko.

 

Katema ni miongoni mwa viungo bora nchini Zambia, anakuja Azam FC kuongeza nguvu kwenye eneo hilo kuelekea msimu ujao.

 

Huo ni usajili weowa tano kwa ajili ya msimu ujao, baada ya awali kuwasainisha nyota wengine wawili kutoka Zambia, Charles Zulu, Rodgers Kola, Kenneth Muguna (Kenya) na Edward Manyama (Tanzania).

 

Leave A Reply