The House of Favourite Newspapers

Azam Kufunga Taa Kwenye Viwanja 4 Vya Ligi Kuu -Video

0


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Azam wameleta mpango wa kufunga Taa katika viwanja 4 ili kuepuka mechi za saa nane mchana ambazo zinawachosha wachezaji.

Viwanja vitakavyowekwa taa ni Uwanja wa Namungo, Gwambina, Kaitaba na Mkwakwani.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply