Azam Yapiga Mtu 4G kwa Ubuyu

KLABU ya Mpira wa Miguu Azam FC imenyakua pointi tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4 bila dhidi ya Tanzania prisons katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.
Magoli ya Azam yalifungwa na Tepsie 27’, Ismail 69’, Ajibu 71’ na Zulu 83’.

