Aziz Andambwile Ajiunga na Yanga Akitokea Singida Fountain Gates
Kiungo Aziz Andambwile (24) amejiunga na Yanga akitokea Singida Fountain Gates (Fountain Gate) kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Andambwile ambaye ni kiungo mkabaji, anaenda kuongeza nguvu eneo ambalo linachezwa na Khalid Aucho na Jonas Mkude pale Yanga.