The House of Favourite Newspapers

Aziz Ki Atangaza Kuendelea kusalia Yanga

0

Kiungo mshambuliaji wa Young Africans Sc ametangaza kuwa ataendelea kusalia klabuni hapo kwa msimu ujao wa 2024/25 na kuzima tetesi zilizokuwa zikimhusisha na kuondoka Jangwani baada ya kusaini mkataba mpya.

Leave A Reply