The House of Favourite Newspapers

Baada ya Kipigo cha URA, Simba Warejea Dar Vichwa Chini

James Kotei akiwasili.

BAADA ya jana jioni Klabu ya Simba kuondoshwa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup kwa kuchezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa timu ya URA ya Uganda, mapema leo wamerejea Dar es Salaam, tayari kwa kujiandaa na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara  dhidi ya Singida United, unaotarajiwa kuchezwa Januari 18 mwaka huu baada ya michuano ya Mapinduzi kumalizika.

Asate kwasi akirejea.

 

Kichuya akiwasili.

 

 

 

MSHTUKO! Lowassa Amfuata Magufuli Ikulu

Comments are closed.