BAADA YA KUVULIWA UBUNGE, NASSARI AMJIBU SPIKA NDUGAI

IKIWA ni saa chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,  kutangaza kumvua Ubunge, aliyekuwa Mbunge wa  Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), jana Machi 14, 2019, baada ya kupoteza sifa za kuendelea kuwa Mbunge kufuatia kushindwa kuhudhuria vikao vya mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, Nassari amesema kuwa Januari 29, 2019 aliwasiliana na Ofisi ya Spika na kueleza juu ya kushindwa kuhudhuria vikao vya Bunge.

Toa comment