Wananchi katika kituo cha Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam mpaka sasa hawajapiga kura kwa kukosekana karatasi za kupigia kura huku vituo vya kura katika kata 4 za Jimbo la Ukonga na vituo vya kata 6 za Jimbo la Segerea vikiishiwa karatasi za kupigia kura.