The House of Favourite Newspapers

Baba Ali Kamwe: Tulivyofungwa Goli 5 Nilimzimia Simu Wiki 3, Nilimuepusha Shetani – Video

0

Mzazi wa Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Mzee Kamwe amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa wakati klabu ya Simba SC inafungwa goli tano na klabu ya Yanga SC aliumia sana na alimzimia simu mtoto wake Ally Kamwe kwa muda wa wiki 3.

Leave A Reply