Baba Levo Aongezewa Hukumu Jela

 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kigoma imemuongezea hukumu Diwani wa Kata ya Mwanga (ACT-Wazalendo), Clayton Chipando ‘Baba Levo’,  kutoka miezi mitano aliyopewa awali hadi mwaka mmoja. Baba Levo alikata rufaa kupinga adhabu ya awali kwa kosa la kumshambulia trafiki.
Toa comment