The House of Favourite Newspapers

ads

Baba Levo Atoa ya Moyoni, ‘Nikipata Nafasi Naruka na Rushainah’- Video

0

Msanii wa Bongo fleva Baba Levo akipiga stori na Global Tv Online amemshauri aliyekuwa mke wa msemaji wa Yanga (aliyefungiwa) Haji Manara, Rushaynah  kutulia  ili aendelea kulinda heshima yake,

“Ruishainay ni mrembo ana umbo zuri atulie atapata mume mwingine nikipata nafasi  hata mimi nitaruka naye”

Leave A Reply