The House of Favourite Newspapers

Baba Mkwe wa Majuto: Walidai Urithi Hospital Kabla Hajafa – Video

Kufuatia madai ya Mke wa Marehemu, Mzee Majuto, kufukuzwa na kukataliwa kutunzwa na familia ya marehemu hususani Watoto wakubwa wa marehemu, Global TV imefanya mahojiano na Baba mzazi wa Mke wa Marehemu, Mzee Mbwana ambaye ameelezea ukweli wote anaoufahamu.

 

MSIKIE HAPA BABA MKWE AKIFUNGUKA

Comments are closed.