The House of Favourite Newspapers

Baba Mzazi Wa Warda Aliyepotea Akiwa Kwa Mkuu Wa Shule Aangua Kilio Studio – Video

Sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023 bado linazidi kufukuta ambapo leo, baba wa binti huyo, Mohamed Machamla amefunguka jinsi alivyopata taarifa za kupotea kwa binti yake.

Familia inaendelea kuomba kwa yeyote atakayemuona au mwenye taarifa za mahali alipo, awasiliane nao kwa namba za simu ambazo ni:

0656520998 au 0687003356.