The House of Favourite Newspapers

Baba wa Aliyejirusha Ghorofani Afunguka Aeleza Tukio lilivyokuwa – Video

0

Global TV imefika nyumbani kwa Joel, mwanaume aliyefariki dunia juzi, Mei 23, 2023 katika kile kinachodaiwa kuwa ni kujirusha kutoka ghorofani, katika Jengo la Derm Plaza, Makumbusho jijini Dar es Salaam.

Imefanikiwa kuzungumza na baba mkubwa wa marehemu, ambaye anaeleza tukio lilivyokuwa na jinsi alivyopata taarifa.

Leave A Reply