Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80

image

Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.

MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.

Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.

Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.

Loading...

Toa comment