Babu Seya Alivyotinga Kanisani Kufunga Ndoa (Picha +Video)

Mwanamuziki mkongwe Nguza Viking almaarufu Babu Seya akiwa na mkewe Bi Desderia Philip Haule wakiingia katika Kanisa Takatifu Katoliki Parokia ya Bikira Maria, Sinza, jijini Dar kabla ya kufunga ndoa.

Mwanamuziki mkongwe Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mkewe, Desderia Haule, Septemba 7, 2019 wamefunga ndoa katika Kanisa Takatifu Katoliki Parokia ya Bikira Maria, Sinza, jijini Dar.

…Bi Desderia Haule akiwekwa sawa.

…Wakijiandaa kuingia kanisani.

…Wakiongea jambo.

…Wakiingia kanisani kufunga ndoa.

Full Video: NDOA Ya BABU SEYA ILIVYOFANYIKA Leo KANISANI SINZA

 


Loading...

Toa comment