The House of Favourite Newspapers

Babu Tale Alivyomtangaza Harmonize Mshindi Wa Tuzo Ya Wimbo Bora, Malaika Aenda Kumpokelea Tuzo – Video

0

Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Harmonize ameshinda tuzo ya Albam bora ya mwaka na wimbo bora wa mwaka.

Dj Seven alimpokelea tuzo ya Albam bora Msanii na huku tuzo ya wimbo bora wa mwaka ikipokelewa na aliyekuwa MKE wa Ricardo Momo, Malaika.

CHANZO cha POSHY QUEEN KUTOSWA na HARMONIZE, DJ 7 AELEZEA MAZITO


 

Leave A Reply