The House of Favourite Newspapers

Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro

0

 

 

MOTO  umezuka  Mlima Kilimanjaro  jana, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zilikuwa ainaendelea.

 

Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia akaunti yake ya Twitter ilithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

 

Aidha, chanzo cha moto huo bado hakikufahamika.

 

Endelea kufuatilia taarifa zetu kwa habari zaidi kuhusu tukio hili.

Leave A Reply