Bajeti ya Msimu ujao Yanga ni Bilioni 24.5 Kutumika kwenye uendeshaji
Msimu uliopita klàbu ya Yanga ilikuwa na bajeti ya Billion 22.5 kwenye matumizi yake ya kawaida kwa msimu wa 2023/24.
Msimu ujao bajeti hiyo imeongezeka hadi Billion 24.5 ambayo itatumika kwenye uendeshaji wa klabu hiyo kwa msimu wa Ligi wa 2024/25
Mapato ya Yanga Msimu 2023/2024
Udhamini na haki za matangazao bilioni 10.19
Mapato mlangoni bilioni 1
Ada za Wanachama milioni 613
Zawadi za ushindi bilioni 3.9
Mapato mengine bilioni 5
Jumla ya mapato ni Bilioni 21
Bajeti ya Msimu ujao ni Bilioni 24.5 ambapo imeongezeka asilimia kumi tofauti na Msimu uliopita ambayo ni Bilioni 22.