Balaa la Matarumbeta ya Kiroboto Dar Live (Picha + Video)

MTAALAM wa kupuliza matarumbeta, Kiroboto OG, amefanya yake na kundi lake usiku wa kuamkia leo Agosti 13, 2019, katika kusherehekea Siku Kuu ya Idd, Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live katika Tamasha la Bonsi ambapo tarumbeta zimegongwa live jukwaani pamoja zikiambatana na machezo ya aina yake.

Wacheza shoo wa kundi la matarumbeta, Kiroboto OG,  wakifanya yao stejini.

…Wakiendelea na vionjo mbalimbali vya shoo.

(PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL)


Loading...

Toa comment