The House of Favourite Newspapers

BARACK, MICHELLE WATOKEA KWENYE SHOO YA BEYONCE, JAY-Z

Image result for BARACK AND MICHELLE At Bey and Jay Concert

JUMAMOSI iliyopita, aliyekuwa rais wa Marekani Barack na  Michelle Obama walihudhuria onyesho la wanamuziki Beyonce na mumewe Jay-Z huko  Landover, Maryland, nchini Marekani.

Mwanzoni mashabiki wa muziki walikuwa hawajawaona walipokuwa wamekaa ukumbini, lakini baada ya kutambua hilo, “waliwavamia” na kuanza kuwapiga picha kwa simu zao.

Image result for BARACK AND MICHELLE At Bey and Jay Concert

Beyonce na Jay wamemaliza ziara yao ya muziki nchini Italia hivi karibuni.

Comments are closed.