Baraka Da Prince Na Watoto Wa Uswazi, Video Mpya ‘Rhumba’

Baraka The Prince kwenye kuonyesha mapenzi moto moto kwa mpenzi wake ndani ya video mpya ya Rhumba aliyoshirikiana na Brian Feel.

 

Nyimbo hii inapatikana kwenye Ep ya African Prince.

 

Video imeongozwa na Adam Juma.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Toa comment