Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) Lazuia Matokeo ya Watahiniwa 540 la Saba

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji la Dar es Salaam baada ya kugundulika kufanya udanganyifu.
Wanafunzi hao wanatoka katika vituo vya Joylanda, Castle hill, Green Acress, Maktaba, Great Vision na Mtendeni.
Kutazama Matokeo Darasa la Saba 2021 <<Bofya Hapa>>
Breaking: NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba 2022, Yatazame Hapa