BARNABA Azua KIZAAZAA, Mfanyakazi GLOBAL Afukuzwa! – Video

GLOBAL KAZINI ni Tamthilia inayohusu maisha ya kila siku ya wafanyakazi wa Makampuni ya Global Group wakiwa ofisini, kuanzia asubuhi kwenye vikao vyao vya kazi na namna wanavyotekeleza majukumu yao ndani ya ofisi hizo.

 

Ndani ya Global Group kuna vitengo mbalimbali ikiwemo Kitengo kinachozalisha Magazeti (Global Publishers) Kitengo cha Runinga ya mtandaoni (Global TV Online) lakini pia redio ya mtandaoni (+225 Global Radio).

 

Kupitia Global Kazini utashuhudia matukio na visa mbalimbali vinavyofannywa na wafanyakazi hao katika idara zao. Fuatilia tamhilia hii ushuhudie kilichomo.

TAZAMA VIDEO HII

Loading...

Toa comment