The House of Favourite Newspapers

Barrick: Happy Independence Day Tanzania

DESEMBA 9 ya kila mwaka Taifa linaadhimisha siku ya Uhuru uliopatikana Desemba 9, 1961 na leo Desemba 9, 2023 ni maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru.

Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru kwa mwaka huu yamebeba Kauli Mbiu inayosema ‘Miaka 62 ya Uhuru, Umoja na Mshikamano ni chachu ya maendeleo ya Taifa’.