Basata Yapiga Chini Ngoma Ya Nay Wa Mitego

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego leo Mei 5, 2021 kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka wimbo wake wa MAMA kupigwa chini na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

“Leo Ilibidi Nitoe Wimbo Wa #Mama Kama Ambavyo Niliwaahidi Lakini Imekua ngumu kutoa nimeupeleka @basata.tanzania wameukataa wameniambia una ukakasi unaitaji marekebisho na mm kwa upande wangu siwezi kubadilisha sababu mpk sasa gharama nilizo tumia ni kubwa sana na video ipo tayari kwa hiyo sitoweza tena kuutoa huo wimbo” -Nay wa MitegoTecno


Toa comment